Wednesday, January 16, 2013

TeMbelea Account Yangu Hulkshare Kupata Nyimbo Mpya Kutoka I.T Music Production Na Ifakara Kwa Ujumla (www.hulkshare/prod_faisal_jss)

Saturday, January 5, 2013

Samahan kwa wale wooote mliokuwa mnafuatilia blog hii na kuwa kimya kwa muda mrefu, ila sasa tumerudi tena. I.T Music Production Ifakara Imeamka tena na kutangaza kupika ngoma kali sana na zitaiva hivi karibuni chini ya mpishi Prod Faisal Jss, Mboni the Finisher na King Sule Akichangia, Kaeni mkao wakula Mashabiki na wadau wa Music Popote Mlipo.