Sunday, September 9, 2012

Hivi Unajua kama Kuna mashindano yataanzishwa hivi karibun?

Dj Mchafu Akishirikiana Na Producer Faisal, Dj E-Sir na Presenter Emmanuel Kapanga Wanataka kuanzisha Mashindano ya kumtafuta star wa music wa mwaka 2012 Ifakara.Shindano hilo litaendeshwa hivi mshiriki anatakiwa aimbe nyimbo zake na sio za kopi.

No comments:

Post a Comment