Tuesday, September 25, 2012





                                                    Ifakara House Of Talent Ikiwa kazin



                                                                Action Boyz Jashoni

                                                    Watoto wa Ifakoda wakifanya kazi


                                              Kings Of Music Dancerz Sansiro Uwanjani

Ni matumain yangu ni mzima wa afya njema, hivi karibuni nilipatwa na matatizo kidogo na ndiomaana nilikuwa kimya kwa muda wa siku kadhaa hivi lakin isiwe tabaabu sabab matatizo yamumbiwa binaadam, Hivi juzijuzi nilikuwa katika shule ya sekondari Kiyongwile katita graduation yao nilienda kushuhudia mambo ya burudani na kuwapongeza wadogo zangu wahitimu. Kulikuwa burudani kama ifuatayo:- Maigizo(kikundi cha Ifakara house of talent lakin waliofanya igizo ni wanafunzi wa shule hiyo na ni wanachama Ifakara house of talent) Madensa wa muziki kutoka makundi mbalimbali kama Sansiro talent group, Action Boyz na Ifakoda ndio waliotia burudani pande hizo siku ya 21/09/2012.

No comments:

Post a Comment