Habari Wasomaji wa Blog hii, Ifakara burudan inaendelea na nimepata habari hivi punde kuwa kua kutakuwa na mashindano ya kucheza kwaito ndani ya ukumbi wa mato ila bado sijajua lini na muda gani yataanza wala fomu zinapatikana wapi ila tu bado ntaendelea kuwapa habari kila kinachoendelea Ahsanteni.
No comments:
Post a Comment