Ni siku Chache nyuma Knack Rapper A.K.A Kam Dizzla Akifanya Mambo katika Vocal Room Ya I.T Recordz ili kuwaletea ki2 kipya mashabiki wa music wake. Kaeni Tayari kwa kitu kipya.
Monday, February 4, 2013
Saturday, February 2, 2013
Huu Ndio Muonekano wa I.T Music Production Kwa juu. I.T record Iliyopo Ifakara Mjini Imeanza kazi Hivi karibun Huku ikifanyiwa Matengenezo ya kuimalzia. Na imeshakamilisha Nyimbo na kuziachia rasmi tarehe 30/01/2012 katika profile page ya Prod faisal Jss katika facebook na unaweza zipata www.hulkshare.com/prod_faisal_jss
Subscribe to:
Comments (Atom)