Tuesday, May 29, 2012
YALIYOJIRI MTWARA KWENYE KTMA WINNERS TOUR
Wakazi wa Mtwara walivyofurika katika uwanja wa Umoja Bi Khadija Ikafika zamu ya masaniii AT Show ilifungwa kwa msanii kutoka Tang...
Thursday, May 24, 2012
Uswaz Intertainment Ya Ifakara Town Imeandaa Bonge la show Ambalo litafanyika Ndani ya Ukumbi wa Serenget Boys Huko Malinyi Wlaya ya Ulanga Mkoan Morogoro Ni Uzinduz wa Tracks tatu za Brown Punch Kutoka Moro town katika Nyimbo Anazo zindua ikiwemo Ma Lady Part 2(Imefanyika katika studio za I.T Music Production Ifakara Chin ya Mkono Prod Faisal Jss), Na Mbili zilizbaki yaani Hima Uje na Kipi(zimefanyika katika Studio Za Pure Music Productions Moro town Chini ya mkono wa Make touch One) AQisee Ishow Itasimama Kinouma sabab anaaweza
Monday, May 14, 2012
Wednesday, May 9, 2012
Tuwakumbuke Hawa
Enzi Za Djs Na Prezenta Hawa Ilikuwa Hatari sana Ndani ya Pambazuko fm 90.7 Ifakara Mtambon ni William Bukuru(Wlley B) na pemben ni Captein Enock Kiswaga(Bonge la Mtu)
Tuesday, May 8, 2012
Sunday, May 6, 2012
Hivi Karibun Studio ya Ifoza Records Kuanza kazi toka Miez mitatu Iliyopita Kutokana na Matatizo ya Kiufundi na marekebisho ya hapa na pale lakin sasa ipo shwari ipo teari kwa kazi kwa wale wasanii wa kutoka ifakara na sehem yeyote ile Sisi tunasema Karibun sssaaaaana Eeee bhana eeh! Jipppange bhana Ifoza records Imerudi Kivingine
Jana Kulifanyika bonge la party katika ukumbi mkubwa katikati ya mji wa wa Ifakara yaan namaanisha Ukumbi wa Jamos Social Hall, Kulifanyika party la kumtafuta Mlimbwende wa Wilaya ya kilombero na kuweza kuwakilisha katika ngazi ya mkoa na Ikiwezekana aendelee kuing'arisha Wilaya ya Kilombero hadi katika ngazi ya Taifa. Party Ilikuwa sio ya kitoto sabab Kulikuwa na Timbulo na Neighbour kwaajili ya kusindikiza show kali Iliyofanyika jana 5/5/2012 Eee Bhana Jipppange
Subscribe to:
Posts (Atom)