Jana Kulifanyika bonge la party katika ukumbi mkubwa katikati ya mji wa wa Ifakara yaan namaanisha Ukumbi wa Jamos Social Hall, Kulifanyika party la kumtafuta Mlimbwende wa Wilaya ya kilombero na kuweza kuwakilisha katika ngazi ya mkoa na Ikiwezekana aendelee kuing'arisha Wilaya ya Kilombero hadi katika ngazi ya Taifa. Party Ilikuwa sio ya kitoto sabab Kulikuwa na Timbulo na Neighbour kwaajili ya kusindikiza show kali Iliyofanyika jana 5/5/2012 Eee Bhana Jipppange
 
No comments:
Post a Comment