Thursday, May 24, 2012

Uswaz Intertainment Ya Ifakara Town Imeandaa Bonge la show Ambalo litafanyika Ndani ya Ukumbi wa Serenget Boys Huko Malinyi Wlaya ya Ulanga Mkoan Morogoro Ni Uzinduz wa Tracks tatu za Brown Punch Kutoka Moro town katika Nyimbo  Anazo zindua ikiwemo Ma Lady Part 2(Imefanyika katika studio za I.T Music Production Ifakara Chin ya Mkono Prod Faisal Jss), Na Mbili zilizbaki yaani Hima Uje na Kipi(zimefanyika katika Studio Za Pure Music Productions Moro town Chini ya mkono wa Make touch One) AQisee Ishow Itasimama Kinouma sabab anaaweza

No comments:

Post a Comment