Bofya maandish ya juu Ili kudownload Nyimbo mpya ya Brown Punch Iitwayo Tonight Chini ya Mpishi Devil's touch Faisal Jss Ndani ya Studio za Dark City Music Production Ifakara, Check Up
Saturday, April 27, 2013
I'm listening to Brown Punch - Tonight (Prod By Devil'... @Hulkshare:
I'm listening to Brown Punch - Tonight (Prod By Devil'... @Hulkshare:
Friday, April 26, 2013
Tuesday, April 23, 2013
Ni katika Muundo mpya kabisa wa Studio mpya iitwayo dark city Music Ifakara Ambayo inafanya vizuri kwa sasa mjini ifakara na sehem mbalimbali za tanzania, kwa mahitaji ya burudani kwa wapenzi wa music na wadau wa Dark City Music Ifakara Producer Devil's touch na timu yake wameandaa show kwaajil ya wapenzi wa music pande za mbingu, Idete na sehemu nyingu tu za mkoa wa morogoro, ni katika kutambulisha studio na wasanii walio lebo katika studio yake. Ziara itaanzia Pande za Idete Siku ya jumamosi ya tarehe Ishirin na Saba ya mwez huu(27/04/2013) na kuendelea kwa maeneo mengine kwa siku tofauti na kwa taarifa ya matangazo na mipango ya wenyeji wa sehemu. kama weye ni mdau na show hii imeangukia pande zako basi usikose, hili ni bonge la show ambalo litaunganishwa na utafutaji wa waimbaji wasiojiweza kwa gharama za studio na kurekodiwa bure katika studio ya Dark City Music na kama kutakuwa na maelewano mazuri basi inaweza ikawa bahati ya kuwa lebo katika studio hiyo. Idete kaeni mkao wa kuwapokea Dark City Music Band Kwa burudani kabambe saaaaana.
Friday, April 19, 2013
I'm listening to Nyota Prod by Devil's Midundo Faisal Js... @Hulkshare:
Hii Ni Presentation Mpya ya Studio Yenye Ujio Mpya Hapa Ifakara yaan ni Dark City Music Laboratory Chini ya Super Producer Devil's touch Faisal Jss One katika Ngoma mpya iitwayo Nyota ya Kijana mtanashati zao la Dark City Music Laboratory akitokea kundi la chafu tatu Ifakara ni Pado Maflavour Akiwa location anafanya mbwembwe za kichupa cha nyimbo yake Mwanzon mwa wiki hii, Kaa mkao wa Kupata radha Zenye standard na kichupa kikali chini ya usimamiz na utengenezaji wa Dark City Video Next Bam Bam. Bofya hayo Maandish ya juu kabisa ili Kuidownload Nyimbo ya Pado Maflavour
Hii Ni Presentation Mpya ya Studio Yenye Ujio Mpya Hapa Ifakara yaan ni Dark City Music Laboratory Chini ya Super Producer Devil's touch Faisal Jss One katika Ngoma mpya iitwayo Nakaza Roho ya Kijana mtanashati zao la Dark City Music Laboratory akitokea kundi la chafu tatu Ifakara ni Brown Punch(Brown Six Asali ya Mabint) Akiwa location anafanya mbwembwe za kichupa cha nyimbo yake Mwanzon mwa wiki hii, Kaa mkao wa Kupata radha Zenye standard na kichupa kikali chini ya usimamiz na utengenezaji wa Dark City Video Next Bam Bam.
Wednesday, April 17, 2013
Mwanamuziki
maarufu na mwenye umri mkubwa kuliko nchini Tanzania, Bi Kidude,
amefariki dunia leo hii akiwa Zanzibar, alikuwa anaumwa na alipowahishwa
hospitali haikuwa rizki tena.
Taarifa ya kifo chake ilitolewa na mpwa wake Baraka Abdulrahman Alisema Bi Kidude alifariki hospitalini kutokana na maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye Kongosho.
Bi Kidude amekuwa katika fani ya muziki wa taarab ya kiasili pamoja na ngoma za unyago kwa zaidi ya robo tatu ya umri wake.
Katika miaka ya karibuni afya yake imekuwa ikizorota kiasi cha serikali ya Zanzibar kumzuia kupanda majukwaani kuburudisha japokuwa alionekana katika tamasha la Sauti za Busara mwezi Februari mwaka huu.
Mipango ya mazishi ya nguli huyu inafanywa nyumbani kwake Zanzibar. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehem pema peponi

Subscribe to:
Posts (Atom)