Hii Ni Presentation Mpya ya Studio Yenye Ujio Mpya Hapa Ifakara yaan ni Dark City Music Laboratory Chini ya Super Producer Devil's touch Faisal Jss One katika Ngoma mpya iitwayo Nakaza Roho ya Kijana mtanashati zao la Dark City Music Laboratory akitokea kundi la chafu tatu Ifakara ni Brown Punch(Brown Six Asali ya Mabint) Akiwa location anafanya mbwembwe za kichupa cha nyimbo yake Mwanzon mwa wiki hii, Kaa mkao wa Kupata radha Zenye standard na kichupa kikali chini ya usimamiz na utengenezaji wa Dark City Video Next Bam Bam.
No comments:
Post a Comment