Hivi karibun nimepata tetesi ya kuwa msanii wa hip hop ndani ya mji mdogo wa
Ifakara anayejulikana kwa jina la
Man Shouk Ameenda kufanya ngoma mpya kabisa katika studio za
Rocka Tz Records Morogoro town, Na nilipo wasiliana nae alinijuza kuwa ni kweli na itaachiwa baada ya kukamilika kutoka Studio na nilipohitaji mahojiano zaid alinambia kuwa atanitafuta akiwa na nyimbo mkononi ili tufanye mahojiano zaid kwahiyo kaa tayari kupokea nyimbo mpya kutoka kwa Man shouk
No comments:
Post a Comment