Jamos Social Hall Inakuletea Show kali ya Wasanii nyota wa bongo fleva Siku ya
Idd Mosi. Show Itaongozwa na
Bright Ndaya
Jamos social hall, Mchana kuanzia saa Sita Kutakuwa na
disko toto kwa Kiingiko cha shilingi
1000/= Na usiku pia kuanzia saa mbili kwa kiingilio cha shilingi
2000/=. Show hii Imedhaminiwa na
Big nation used center, Tonny Aluminium Glass na Tatu Bila bar. Show hii sio ya kukosa mtu wangu njoo tushuhudie mwanapakaya ametuletea vitu vipya kabisa
No comments:
Post a Comment