Maya Alifanya Vibaya Siku ya
Eid Pili Ndani ya Kumbi zilizopo
Idete Akisindikizwa na
Nukta Zero Dansaz,
Maya Akiwaahid mashabiki wake wanyumbani hakisema sasa yupo chini ya
Millionaire Republic Ikiongozwa na
Sharo millionaire na hataharibu na msubiri kazi mpya na nzuri kuliko zilizopo hits hewani kwa sasa huku akisisitiza kuwa anamipango mingi sana na kampuni hiyo ya
millionaire na kuahidi kuinyanyua Ifakara kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment