Tuesday, September 25, 2012
Ifakara House Of Talent Ikiwa kazin
Action Boyz Jashoni
Watoto wa Ifakoda wakifanya kazi
Kings Of Music Dancerz Sansiro Uwanjani
Ni matumain yangu ni mzima wa afya njema, hivi karibuni nilipatwa na matatizo kidogo na ndiomaana nilikuwa kimya kwa muda wa siku kadhaa hivi lakin isiwe tabaabu sabab matatizo yamumbiwa binaadam, Hivi juzijuzi nilikuwa katika shule ya sekondari Kiyongwile katita graduation yao nilienda kushuhudia mambo ya burudani na kuwapongeza wadogo zangu wahitimu. Kulikuwa burudani kama ifuatayo:- Maigizo(kikundi cha Ifakara house of talent lakin waliofanya igizo ni wanafunzi wa shule hiyo na ni wanachama Ifakara house of talent) Madensa wa muziki kutoka makundi mbalimbali kama Sansiro talent group, Action Boyz na Ifakoda ndio waliotia burudani pande hizo siku ya 21/09/2012.
Wednesday, September 19, 2012
Monday, September 17, 2012
Kunauwezekano wa kuanza mashindano ya kumsaka staa wa muziki ifakara nzima kwa muda wowote kuanzia sasa sabab fomu inasema mwisho wa tahreh ya kurejesha ni tareh 17/09/2012 na baada ya hapo kuatakua na kikao cha mwisho na ndio kitajuza watu kama lini mashindani yataanza, Kuwa tayari na Tunaomba sapoti yako ili kuweza fanikisha zoez hili ila ukipata taarifa hizi tafadhali muambie na mwinzako. Ahsante
Sunday, September 9, 2012
Hivi Unajua kama Kuna mashindano yataanzishwa hivi karibun?
Dj Mchafu Akishirikiana Na Producer Faisal, Dj E-Sir na Presenter Emmanuel Kapanga Wanataka kuanzisha Mashindano ya kumtafuta star wa music wa mwaka 2012 Ifakara.Shindano hilo litaendeshwa hivi mshiriki anatakiwa aimbe nyimbo zake na sio za kopi.
Subscribe to:
Posts (Atom)